TAARIFA MUHIMU KWA WATANZANIA ROMA: UCHAGUZI WA VIONGOZI WAPYA KUFANYIKA TAREHE 5 MACHI 2016
Baada ya Mikutano mitano ya majadiliano, uchunguzi na ukarabati wa Katiba ya Jumuiya ya Watanzania Roma, Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma unayofuraha kuwafahamisha kuwa jana tarehe 20 Februari 2016 zoezi zima la urekebishaji wa katiba ulikamilika. Wajumbe kwa pamoja walipanga tarehe 5 Machi 2016, saa kumi na moja jioni ndio kuwa siku ya uchaguzi wa viogozi wapya. Uchaguzi utaf...anyika kwenye Indian Restaurant via Principe Amedeo 70 (termini). Kwa wale wanaotaka kuchukua mafomu ya kujiunga na Jumuiya tafadhali wasilianane na Katibu (Andrew Chole Mhella - kwa kupitia Inbox). Nafasi za kugombea ni za Mwenyekiti, Katibu, Mweka Hazina na wajumbe wawili wa kamati ya utendaji. Kwa yeyote atakayetaka kushiriki kwenye uchaguzi atatakiwa kujaza na kukabidhi fomu kwenye uongozi unaomaliza muda wake.

Kwa habari zaidi endelea kufuatilia page hii ya Jumuiya.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki jumuiya ya Watanzania Roma.
Katibu,
Andrew Chole Mhella.

viagra original
ReplyDeleteagen viagra
viagra