TANGAZO KWA WATANZANIA NCHINI ITALIA
JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA NA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA ZINAWAFAHAMISHA KUWA MWILI WA MAREHEMU ALLY KIJUU JUMA UTAAGWA SIKU YA JUMATATU TAREHE 20 JANUARI MJINI ROMA KWENYE CAMERA MORTUARIA - OSPEDALE POLICLINICO TOR VERGATA, ILIYOPO KWENYE MTAA WA VIALE OXFORD 81 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI. TUNAOMBWA TUFIKE MAPEMA NA KWA WINGI ILI TUWEZE KUUAGA MWILI WA MTANZANIA MWENZETU KABLA YA KUSAFIRISHWA KWENDA TANZANIA KWA MAZISHI. MWILI UTAOND...OKA POLICLINICO SAA SITA KAMILI MCHANA.
HAPO KWA CHINI KUNA RAMANI YA SEHEMU TUTAKAPO UAGA MWILI WA MAREHEMU. KWA USAFIRI WA KIZALENDO MNAWEZA KUCHUKUA METRO LINEA A KWA MFANO TOKEA TERMINI MPAKA ANAGNIGNA. MKISHUKA ANAGNINA CHUKUENI BUS NAMBA 20 DIRECTION CAMBELLOTTI, THEN SHUKENI BAADA YA VITUO 10 KWENYE KITUO KINACHOITWA HEIDELBERG. BAADA YA HAPO NI MGUU KWA MITA 500.
VILE TUNAPENDA KUWAFAHAMISHA KWAMBA KESHO MJINI NAPOLI, MWILI WA MAREHEMU ABDALLA MAULID HAMID UTAAGWA MIDA YA SAA TANO ASUBUHI! TUNAWAOMBA WATANZANIA POPOLE PALE MLIPO NCHINI ITALY MFIKE KWA WINGI TUWEZE KUUAGA MWILI WA MAREHEMU ABDALLAH.
R.I.P ALLY KIJUU JUMA NA ABDALLA MAULID HAMID
KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA,
ANDREW CHOLE MHELLA

No comments:
Post a Comment