Mwili wa marehemu Tofiki Said Mpira, jana jumamosi 06-07-2013 uliagwa na umati wa Watanzania toka Roma na Napoli tayari kwa kusafirishwa kwenda nchini Tanzania jumanne tarehe 09-07-2013. Itakumbukwa kuwa Marehemu Tofiki Said Mpira alifariki mjini Rome tarehe 28 Juni 2013 kwenye hospitali ya Lazzaro Spallanzani saa kumi na mbili na nusu asubuhi.
Mwenyezi mungu apokee Roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.
Mwenyezi mungu apokee Roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.
No comments:
Post a Comment