Mwili wa marehemu Tofiki Saidi Mpira utaagwa Jumamos hii (06-07-2013) saa nne kamili asubuhi kwenye Hospitali ya Lazzaro Spallanzani upande wa kuifadhi maiti mtaa wa Via Giacomo Folchi 6a. Hivi ni namna ya kufika kwenye hii Hospitali: kwa wale wanaotokea Termini mnaweza kuchukua Bus H na kushuka kwenye kituo Circonvallazione Gianicolense ambacho kinaangaliana na ospitali San Camillo kwa upande wa kusho halafu mnachukua moja ya mabus haya 228-774-710.
kwa kutokea Trastevere mnaweza kuchukua mabus haya 228 au 774. mkishaingia kwenye mtaa wa Via Giacomo Folchi kama mita 150 mtaona bango kubwa limeandikwa
"Lazzaro Spallanzani".
Tafadhali Mnaombwa Mfike salama tumsindikize ndugu yetu kwenye safari yake ya milele. Amen.

No comments:
Post a Comment