Uongozi
wa Jumuiya ya Watanzania Roma unapenda kuwajulisha Watanzania wa Roma
na sehemu mbali mbali za Italia kuwa, siku ya jumamosi tarehe 22 Juni
2013, kutakuwa na mkutano mkuu wa jumuiya kwenye ukumbi wa Wakenya Pub,
uliopo kwenye mtaa wa Via Giovanni Lanza, karibu sana na Stazione
Termini kuanzia saa kumi jioni.
Agenda ya mkutano huu ni kujadiliana kwa pamoja mwenendo mzima wa Jumuiya. Kama inavyojulikana na wote jumuiya inaitaji muamko mkubwa kutoka kwa wanajumuiya ili iweze kuendelea daima na daima.
Kwa maelezo zaidi mnaweza kuwasiliana na katibu kwa Namba hii 3479094800.
Nawatakia siku njema.
Andrew Chole Mhella
Katibu

No comments:
Post a Comment