Ile Sherehe ya Kiafrika ambayo kila Mwaka ufanyika mjini Rome na duniani kote kwa ujumla ijulikanayo zaidi kama "African day" mwaka huu ilifanyika tarehe 28 Mei 2013, kwenye ukumbi wa Hotel Cavelieri mjini Rome. Sherehe hii ambayo inawakutanisha Waafrica waishio nchini Italy, uandaliwa na balozi mbalimbali za kiafrika zilizopo nchini Italia. Msafara wa Tanzania uliongozwa na Balozi wa Tanzania nchini Italy, Mh. James Msekela.
Hapa DEAN of ambassadors in Italy Mh.Mamadou Kamara Dékamo ambaye pia ni Balozi wa Kongo Blazzavile in Italy, akikata keki ya sherehe. |
Hapa Mr. Ayubu akibadilishana mawazo na Maofisa wengine toka nchi mbali mbali za Africa. |
Hapa wakina mama wa Kitanzania wakipata picha ya Pamoja kabla ya kuanza safari ya kwenda kwenye sherehe. |
Hapa Wakina mama wa Kitanzania wakishusha baadhi ya vyakula walivyokuwa wameadaa. |
Hapa Katibu Andrew Chole Mhella pamoja na Mai waifu wake na Paulina na dada Anna Mrio wakibadilishana mawazo kabla ya kuingia Ukumbini. |
Mh. Balozi Msekela akiwa na Mama Balozi kwenye VIP table. |
Mheshimiwa Balozi na mama Balozi wakiwa kimya kusikiliza wimbo wa Taifa wa Umoja wa Africa (AU) |
Hapa ni Kwenye Meza ya Chakula cha Kitanzania. |
VIP Table |
Meza ilipendezeshwa na Bendela za Kitanzani |
Mr. na Mrs Msemo wakipata picha ya pamoja. |
Mh. Balozi akiwa kwenye meza ya Chakula cha Kitanzania. |
Mh. Balozi akijipakulia Keki. |
Hapa ulikuwa wakati wa Kutangaza mavazi ya kiafrika.. |
Dada huyu akipita na Vazi la Kimasai. |
Kaka Huyu ni wa kutokea Kenya akipita na moja ya mavazi yavaliwajo Kenya. |
No comments:
Post a Comment