Jesca Salvatory Mbilinyi ambaye ni mtoto wa Ofisa utawala wa ubalozi wa Tanzania Italy, jumamosi ya tarehe 18 Mei alipata komunio ya kwanza kwenye kanisa la Mtakatifu Susana.
Baada ya Misa takatifu, Jesca aliwakaribisha Watanzania kusherekea nae kwenye ukumbi uliopo maeneo ya La Storta. Sherehe ilipendeza sana na zaidi ilipambwa na ugeni wa muimbaji maarufu wa Bongo Flava Ommy Dimpoz. Mheshimiwa Balozi na Mama Balozi pia walikuwa miongoni mwa wageni kwenye sherehe hii. Jumuiya ya Napoli iliwakilishwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Abdulrahamani A.Alli.

Jesca akiwa pamoja na familia yake kwenye kanisa la Mtakatifu Susana |
Jesca akionyesha Zawadi ya Msalaba. |
Jesca akionyeshe Cheti kutoka kwa Baba Mtakatifu Francesco. |
Baba Nyirenda nae alikuwepo. |
Keki ikiingizwa ukumbini |
Na hii ndio keki |
Mdau Esther akimsaidia Jesca kukata Keki. |
Msanii wa Bongo Flava Ommy Dimpoz akiingia Ukumbini. |
Msanii Ommy Dimpoz akibadilishana mawili matatu na Mheshimiwa Balozi. |
Picha ya Pamoja na Ommy Dimpoz |
Mheshimiwa Balozi akitoa zawadi yake. |
Mdau Esther akiwakilisha zawadi yake. |
Ulifika Wakati wa Rhumba. |
Picha ya Pamoja |
I really enjoyed my first communion.
ReplyDelete