Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, May 3, 2012

PATA SASA TICKET YAKO YA SHEREHE YA MUUNGANO WA TANZANIA

HAYA JAMANI TICKET ZA SHEREHE YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOANDALIWA NA JUMUIYA YA WATANZANIA ROME ITAKAYOFANYIKA TAREHE 12 MEI 2012 ZIPO MITAANI.. KWA WALE AMBAO BADO HAWAJAPATA TICKET ZAO MNAOMBWA MUWASILIANE NA KATIBU NDUGU ANDREW CHOLE MHELLA CELL. 3479094800, E-MAIL watanzaniaroma@yahoo.it AU MWENYEKITI LEONCE UWANDAMENO KWA KWENDA UBALOZINI. TICKET KWA MTU MMOJA NI EURO 35 NA KWA MUME NA MKE IN EURO 60.WAHI SASA TICKET ZIPO LIMITED.MZIKI VINYWAJI MPAKA KUCHEEEEEE!!KUTAKUWA NA ZILIPENDWA, TAARAB, BONGO FLAVA, BOLINGO, KWAITO, RHUMBA NA KIDUKU. NYAMA CHOMA CHINI YA MTAALAM WA NYAMA CHOMA ITALY MZEE JABIR NA MAPOCHO MAPOCHO KIBAO. MGENI WA HESHIMA NI BALOZI WA TANZANIA NCHINI ITALY MH. JAMES MSEKELA AMBAYE NDIO AMEWASILI MAJUZI JUZI TU KWENYE KITUO CHAKE CHA KAZI MJINI ROME. KUTAKUWA NA PERFOMANCE TOKA KWA MSANII WA BONGO FLAVA KL TOKA WABANTU CLICK.

NB:TICKET MNAWEZA KUZIPATA PIA JUMAMOS HII KWENYE MKUTANO WA MWISHO PALE VIA PRINCIPE AMEDEO, MAENEO YA TERMINI KWENYE RESTAURANT YA WAHINDI. KARIBUNI SANA.

KATIBU ANDREW CHOLE MHELLA

No comments:

Post a Comment