Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Tuesday, May 1, 2012

MKUTANO WA SHEREHE YA MUUNGANO NA UTAMADUNI WA TANZANIA

UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA, UNAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA WOTE KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA MWISHO WA MAANDALIZI YA SHEREHE YETU, JUMAMOSI TAREHE 5 MEI, PALE PALE TUNAPOKUTANAGA KILA SIKU KWENYE RESTAURANT YA KIHINDI MAENEO YA TERMINI, VIA PRINCIPE AMEDEO KUANZIA SAA KUMI KAMILI JIONI.MNAOMBWA MFIKE KWA WINGI MAANA NDIO MKUTANO WA MWISHO WA SAFARI TULIYOIANZA MUDA MREFU. KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA KATIBU KWA NAMBA HII 3479094800.
ASANTENI.

No comments:

Post a Comment