Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Saturday, January 21, 2012

Picha Zaidi za kuuaga mwili wa Marehemu Twahir Hussein Omari Mjini Napoli

Ndugu wa Marehemu, "Mavumbi" alishindwa kujizuia pale alipokuwa akisoma historia ya marehemu.

Baada ya muda, ndugu Mavumbi alipata nguvu za kuendelea kusoma historia ya marehemu huku akisikilizwa na viongozi wa Jumuiya mbalimbali za watanzania nchini Italy.
Marafiki wa karibu wa marehemu walitengeneza hizi T-shirt kumuenzi Marehemu.
Kamati ya Usafirishaji wa mwili wa marehemu wakihesabu michango mbalimbali kutoka kwa jumuiya mbalimbali za Watanzania Nchini Italy.
Watanzania walipata chakula kabla ya kumuombea marehemu dua.
Mjumbe wa kiti Maalum wa Jumuiya ya Watanzania Rome, Da Riziki akipita kwenye meza ya chakula.
Wakina dada waliojitolea kusaidia kwenye maandalizi na upakuaji wa chakula.
Kutoka kushoto ni Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Rome ndugu Andrew Mhella, Katikati ni Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italy, Mh. Ayoub na kulia na Mweka Hazina wa Jumuiya ya Watanzania Rome, ndugu Awadhi Suleiman.
Umati wa watu ukimuombea dua marehemu.
Wakina dada walitengeneza Tshirt maalum kumeunzi Marehemu.
Wakati wa kuuaga mwili wa marehemu.
Dada mwajuma akitafakari jambo kabla ya kuuaga mwili wa marehemu.
Lady Judy akiwasili.
Ndugu Mwishehe alimkumbuka marehemu kwa style hii.
Hili ndio gari lililowaleta watanzania kutoka napoli mjini mpaka kwenye ukumbi wa kuomba dua.

Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Rome, ndugu Andrew Chole Mhella akipita kwenye meza ya Chakula.
Mzee mkongwe Mtanzania aishie Rome, mzee ringo akipita kwenye meza ya chakula.
Picha zote na GEORGE MAYAKA.Asante sana kaka kwa kutuletea picha hizi za ukumbusho.

No comments:

Post a Comment