Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, January 15, 2012

UMATI WA WATANZANIA NCHINI ITALY WAUAGA MWILI WA MAREHEMU TWAHIR HUSSEIN OMARI MJINI NAPOLI

Uwati wa watanzania waishio nchini Italia jana asubuhi 14 Jan. 2012, walijumuika kwa pamoja mjini napoli kuuaga mwili wa marehemu Twahir Hussein Omari, maarufu kwa wengi kama "Mboga Zote". Mwili wa marehemu utasafirishwa siku ya Jumanne tokea Roma Fiumicino kuelekea Dar-es-Salaam, Tanzania kwa mazishi na shirika la ndege la KLM. Mazishi yatafanyika mkoani Tanga.Mwenyezi Mungu mlaze marehemu mahala pema peponi amen.Picha zaidi zitafuata muda si mrefu.

1 comment:

  1. Poleni sana wapendwa,Mungu awape uvumilivu kwa wakati huu mgumu kwenu.

    ReplyDelete