Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, August 1, 2010

Picha zaidi za LAST RESPECT kwa Marehemu Hamisi Abdalla George

Kwenye Picha: kushoto ni Mjumbe wa burudani ndugu Bakari Hizza, katikati ni Mwenyekiti Msaidizi Mh. Erasmus Pindu Luhoyo na Kulia ni Katibu ndugu Andrew Chole Mhella wote watatu ni kati ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma. Picha na George Mayaka.
Katibu wa Napoli Mh. Mwandai aliyevaa kofia pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma na Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Modena Mh. Mwinyimwaka aliyevaa suruali na chati la rangi nyeusi. Picha na George Mayaka.
Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italy wakiwasili kwenye kumuaga marehemu Hamisi Abdalla George. Picha na George Mayaka.


2 comments:

  1. NINASIKITIKA SANA KWA MSIBA HUU WA NDUGU NA MTANZANIA MWENZETU ABDALLA GEORGE.

    NAUNGANA KATIKA MAJONZI NA NDUGU WA MAREHEMU PAMOJA NA WATANZANIA WOTE WA ROMA NA WA SEHEMU NYINGINE ZA ITALIA AMBAO MSIBA HUU UMEWAGUSA, NAWASHUKURU KWA MOYO NA MICHANGO YENU KATIKA KUFANIKISHA ZOEZI LA KUURUDISHA NYUMBANI MWILI WA MAREHEMU. RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZILE MAREHEMU HAMISI GEORGE.

    POLENI SANA WATANZANIA WENZANGU BILA KUWASAHAUPOLE ZANGU KWA NDUGU WA MAREHEMU.

    Leonce Uwandameno...
    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Rome,(likizoni Mahenge, Tanzania)

    ReplyDelete