Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, March 25, 2010

Rome: Mjumbe/Dr. Boniface Mhella afanikiwa kutetea kazi yake ya udaktari


Dr. Boniface akielezea kazi yake iliomfanya ale nondoz ya udadtari


Watanzania wakiongozwa na Mh. Balozi W. Ngirwa na ndugu mbalimbali walikuja kushuhudia utetezi huu.

Mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania Rome Dr. Boniface J. Mhella jana jioni(24-03-2010) alitetea kazi yake ya udaktari kwenye Chuo Kikuu cha Pontifical University of St. Thomas of Aquinas "ANGELICUM" na kufanikiwa kuikwaa nondoz ya Udaktari. Dr. Boniface alifanya research kwenye mada hii: COMPLEMENTARY FINANCING FOR POVERTY REDUCTION AND ECONOMIC DEVELOPMENT, with reference to Tanzania (1961-2006). Jumuiya ya Watanzania Rome inapenda kumpongeza Dr. Boniface na kumtakia mafanikio mema.

2 comments:

  1. HONGERA SANA MHESHIMIWA KWA NONDOZ ULIZOKULA... HAYO NDIYO MALENGO SAHIHI YA KUWEPO KWENU UGHAIBUNI YAANI TAFUTENI ELIMU MRUDI NAYO HAPA BONGO ITUSAIDIE SIYO KUFUNGUA MATAWI YA VYAMA VYA SIASA AMBAYO HAYANA TIJA KWA MTANZANIA!

    ReplyDelete
  2. Hongera sana mazee!! basi tunalusubiri hapa nyumbani uje tujenge nchi hii masikini inayoliwa na wajanja. Usikubali kuwa mwenyekiti wa CUF Napoli, yaani usiwe bendera fata upepo.. rudi tujenge nchi yetu.

    Mdau Kihonda, Mji kasoro bahari.

    ReplyDelete