Timu ya Roma leo jioni(27/03) imeweza kuifunga inter kwa bao 2-1 kwenye mechi kali iliyochezwa hapa mjini Rome. Magoli ya Roma yalifungwa na De Rossi na Toni na lile la Inter lilifungwa na Millito.Picha za mechi zitatufikia muda si mrefu kutoka kwa mwanajumuiya wetu aliyekuwepo uwanjani kushuudia mechi hii.
Picha zimeshatufikia na Shukrani nyingi ziende kwa mwanajumuiya wetu na mdau mkubwa wa blog hii ya Watanzania Hapa Rome, ndugu Andrew Kybashasa.
Habari Ndo Hiyo
Hapa Mwanajumuiya na mdau mkubwa wa Blog hii akiangalia kwa makini Mechi ikiendelea.
Msimamo wa Ligi mpaka baada ya mechi hii kuisha. Mechi zingine zitachezwa kesho jumapili.
Pages
welcome to Tanzania
TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.
No comments:
Post a Comment