Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Friday, November 6, 2009

Video ya Wabantu Click 'Wakati Ndo Huu'Wabantu Click ni kundi la Muziki tokea Tanzania lakini linafanya shughuli za kimziki nchini Italia. Ni group ambalo ndio kwanza limeanzishwa, na limesharekodi nyimbo kadhaa, kama vile WAKATI NDO HUU, likimshirikisha Dada mahili kabisa tokea Cameroun ajulikanaye kwa jina la Nancy na limesharekodi wimbo mwingine uitwao INAWEZEKANA, ambao wameufanyia remix ya Ragga. Ukitaka kuwapata kwaajiri ya show za mziki na zaidi kuwajua zaidi waandikie e-mail- a_mhella@hotmail.com au kondelak@gmail.com. Hiyo Hapo juu ni video yao ya kwanza ya wimbo
WAKATI NDO HUU.

No comments:

Post a Comment