
Ndugu Confideus Kalasara, Mtanzania na mdau wa karibu sana wa Blog yetu hii ya Roma, ambaye pande za Tanzania anatokea Arusha Nchini Tanzania, ameomba Blog yetu ya Jumuiya ya Watanzania Tawi la Rome imuwekee ili ombi lake. Yeye kwa sasa anaishi Tuscany, hapa Italia kwa muda wa Mwaka sasa. Tokea amefika hapo kikazi hajawahi kukutana na Mtanzania yeyote zaidi ya ndugu mmoja aliyekuja nae tokea Tanzania. Ombi lake ni kwamba kama kunamtanzania yeyote aishie pande za Tuscany amtafute waweze kufahamiana na kama wakiwa wengi waweze kuanzisha Tawi la Jumuiya ya Watanzania huko Tucscany. Contacts zake ni hizi hapa Tel: 3333708992 au kwa email: confideus@yahoo.com
No comments:
Post a Comment