Mwenyekiti akipoz na baadhi ya wanajumuiya
(Tokea kushoto ni Mweka Hazina Ndg. Awadhi, Katikati Katibu Ndg. A. Mhella na kulia ni Mwenyekiti Zuhra)
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma, unapenda kuwashukuru watanzania wote waliojitokeza na kujiandikisha uanajumuiya -Roma kwenye kikao kilichofanyika tarehe 8/8/2009. Kuwepo kwenu kumesaidia kufanikisha lengo la Kikao. Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
No comments:
Post a Comment