
Kuanzia tarehe 8 August 2009, sheria mpya ya uombaji wa uraia wa Italy utaanza rasmi. Ni sheria namba 94 ya 15/07/ 2009 (iliyotangazwa kwenye gazeti (gazetta ufficiale) la 24/07/2009). Sheria hii mpya itachukua nafasi ya sheria ya zamani iliyopitishwa tarehe 5/02/1992. Kwa habari zaidi gonga hapo juu kwenye kichwa cha habari. Maelezo yapo kwenye lugha ya Kiitaliano.
No comments:
Post a Comment