Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, July 11, 2012

MWILI WA MAREHEMU MOHAMED DOMINGO KUAGWA KESHO MJINI ROMA TAREHE 12-07-2012

Mwili wa marehemu Mohamed Domingo, ambaye alifariki tarehe 02-07-2012 mjini Roma akiwa kwenye matibabu ya saratani ya mapafu utaagwa kesho tarehe 12-07-2012 kwenye Ospedale San Raffaele Monte Comparti, iliyopo nje kidogo ya Roma  kwenye mtaa wa Via san Silvestro 67, uliopo kwenye Comune Monte Comparti, mida ya saa nne na nusu asubuhi. Watanzania wote mnaombwa kufika ilituweze kumsindikiza mwenzetu kwenye pumziko la milele nchini Tanzania. Kwa wale ambayo hamjui sehemu mwili wa marehemu ulipoifadhiwa, mnaombwa saa mbili na nusu asubuhi mkutane na kikundi cha Watanzania kwenye kituo cha Metro Anagnina ili muweze kupata watu wa kuongozana nao. Mwenyezi Mungu amrehemu marehemu na awapatie ndugu jamaa na marafiki nguvu za kukabiliana na wakati huu mgumu amen. 

No comments:

Post a Comment