WATANZANIA WAISHIO ROMA TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA NDUGU YETU MPENZI ULTANI DOMINGO—KILICHO TOKEA KATIKA HOSPITALI YA
SAN RAFFAELE – MAHALI – MONTE COMPATRI – VIA S. SILVESTR N,67. SIKU YA JUMATATU TAREHE 2/07/2012 SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI ROMA – ITALY.
MAREHEMU ALISUMBULIWA NA SARATANI YA MAPAFU. WATANZANIA WOTE MNAOISHI ROMA MNAOMBWA MFIKE KWA WINGI KWENYE MKUTANO SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 7/07/2012 KATIKA PIZZERIA YA SOUTH INDIAN RESTAURANT VIA PRINCIPE AMEDEO 70 . MAENEO YA TERMINI . MNAOMBWA MFIKE SAA
KUMI JIONI ILI TUFANIKISHE USAFIRI WA KUMPELEKA NYUMBANI MAREHEMU.
NDUGU WA MAREHEMU WANAZO TAARIFA NA WANAUSUBIRIA MWILI WA MAREHEMU MJINI DAR ES SALAAM KATIKA MTAA WA BOKO STREET 27 – TEMEKE.UMOJA NI NGUVU HIVYO BASI TOWENI TAARIFA KWA WENGINE AHSANTENI.
KWA MAELEKEZO ZAIDI PIGA NAMBA HIZI 00393887381786 ROME-ITALY
— in Rome. ( UJUMBE KUTOKA KWA GEORGE MAYAKA)
No comments:
Post a Comment