UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA, UNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA NDUGU THOMAS RYNOS PETER a.k.a KIGADI, KILICHOTOKEA MJINI ROMA JUMAMOSI JIONI TAREHE 21-11-2015. MAREHEMU ALIZALIWA MJINI TANGA 09-06-1962.
MAREHEMU ATAKUMBUKWA NA WENGI KWA UCHESHI NA UPENDO.
ILI TUWEZE KUFANIKISHA ZOEZI ZIMA LA KUUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU KWENDA TANZANIA KWAAJIRI YA MAZISHI KAMA TULIVYOOMBWA NA NDUGU ZAKE WALIOPO TANGA, TANZANIA, SIKU YA KESHO JUMANNE TAREHE 24-11-2015, KUANZIA SAA KUMI JIONI KWENYE RESTAURTANT YA KIHINDI ILIYOPO VIA PRINCIPE AMEDEO, MAENEO YA TERMINI, KUTAKUWA NA MKUTANO WA KUCHANGISHA FEDHA.
TUNAOMBA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI MFIKE KWA WINGI ILIZOEZI ILI TULIKAMILISHE MAPENMA IWEZEKANAVYO.
UPATAPO UJUMBE HUU TAFADHALI MFAHAMISHE NA MWENZIO.
MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI MR. KIGADI, AMEN.
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
KATIBU,
JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA
No comments:
Post a Comment