Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Friday, January 10, 2014

Tangazo la Mkutano wa Msiba

Uongozi wa kamati wa msiba wa mjini Rome wa marehemu Ally Kujuu Juma na wa Marehemu bibi Fatuma unapenda kuwashukuru wale wote walioudhulia mkutano uliofanyika jumatatu ya tarehe 6 pale kwenye restaurant ya Kihindi kwenye mtaa wa Via Principe Amedeo, Termini. Uongozi baada ya mkutano uliitisha mkutano mwingine siku ya jumamosi tarehe 11 Januari, kuanzia saa kumi jioni pale pale kwenye restaurant ya kihindi kwaajiri ya kuchangishana michango. Mkutano huu unalengo la kuongeza nguvu maana michango bado inaitajika. Tuonaumbwa tuwafahanishe na wengine ambao hawajapatabado ujumbe huu. Picha ya kwanza hapo chini ni kwenye mkutano wa tarehe 6 Januari na ya pili pale Katibu ndugu Andrew Chole Mhella alipofika ubalozini kukabidhi hati ya kifo kwa Balozi wa Tanzania Italy, Mh. James Msekela kwaajiri ya kuomba barua ya kutambua uraia wa marehemu na pia kujadili jambo flani juu ya huu msiba.See more
Hapa Katibu  wa Jumuiya ya Watanzania Roma ndg. Andrew Chole Mhella akikabidhi Cheti cha kifo cha marehemu Ally Kijuu Juma kwa Balozi wa Tanzania nchini Italy, Mh. James Msekela.

No comments:

Post a Comment