MWILI WA MAREHEMU ABDULLI ABUU a.k.a CLEAN HEART, JANA JUMAMOSI TAREHE 21 DISEMBA 2013, ULIAGWA MJINI ROMA KWENYE OBITORIO VERANO ILIYOPO PIAZZALE DEL VERANO NAMBA 38 MJIINI ROMA NA UMATI WA WATANZANIA. MWILI WA MAREHEMU ULIONDOKA JANA TAREHE 21 DISEMBA MIDA SAA MOJA USIKU NA TURKISH AIRWAYS. NDEGE ILIFIKA INSTANBUL SAA NNE ZA USIKU KWAAJIRI YA TRANSIT. MWILI WA MAREHEMU UNATEGEMEWA KUONDOKA LEO INSTANBUL SAA MOJA NA DAKIKA 10 ZA USIKU KUELEKEA DAR ES SALAAM, TANZANIA, AMBAPO UNATAKIWA KUFIKA DAR SAA TISA NA DAKIKA 35 ZA ALFAJIRI.
UONGOZI WA JUMUIUYA UNAPENDA KUWASHUKURU WALE WOTE WALIOCHANGIA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUFANIKISHA ZOEZI ILI.
HAPO CHINI NI PICHA MBALIMBALI ZA SIKU YA KUUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU. MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA.
UONGOZI WA JUMUIUYA UNAPENDA KUWASHUKURU WALE WOTE WALIOCHANGIA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUFANIKISHA ZOEZI ILI.
HAPO CHINI NI PICHA MBALIMBALI ZA SIKU YA KUUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU. MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA.
JENEZA LA MAREHEMMU ABDULLI ABUU |
WATANZANIA WAKIMUOMBEA DUA MAREHEMU ABDULLI ABUU |
VIONGOZI WA JUMUIYA KWA PAMOJA WAKIUTOA MWILI WA MAREHEMU ABDULLI TAYARI KUUWEKA KWENYE GARI LITAKALO UPELEKA AIRPORT. |
GARI ILIYOBEBA MWILI WA MAREHEMU |
KUTOKA KUSHOTO NI MWNEYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA MH. ERASMUS PINDU LUHOYO, KATIKATI NI MAMA TANDIKA NA KULIA NI KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALY MH. KAGUTA. |
Add caption |
OFISA UTAWALA KUTOKA UBALOZI WA TANZANIA ITALY, MH. SALVATORY MBILINYI AKITOA POLE KWA NIABA YA UBALOZI. |
MTAALAM WA UFUNGAJI MAJENEZA AKILISEAL JENAZA TAYARI KWA KWENDA TANZANIA. |
No comments:
Post a Comment