JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA, PAMOJA NA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA, TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTANZANIA MWENZETU NDUGU TOFIKI SAIDI MPIRA ALIYEFARIKI MJINI ROMA TAREHE 28 JULAI 2013, KWENYE HOSPITALI YA SPALLANZANI ILIYOPO NYUMA YA HOSPITALI YA SAN CAMILLO. MIPANGO YA KUUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU KWENDA TANZANIA INAFANYWA MJINI ROMA NA NAPOLI.
KWA WATANZANIA MLIPO MJINI ROMA MNAOMBWA KUTOKUKOSA SIKU YA JUMATANO TAREHE 3 JULAI KWENYE WAKENYA PUB ILIYOPO MTAA WA GIOVANNI LANZA, KWAAJIRI YA KUKUSANYA MICHANGO. TAFADHALI UPATAPO UJUMBE HUU MJULISHE NA MWENZAKO.
KWA NIABA YA WATANZANIA ROMA TUNAWAPA POLE SANA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA MAREHEMU POPOTE PALE MLIPO.
KWA MAELEZO ZAIDI YA SIMU MNAOMBWA MTUMIE NAMBA HII YA KATIBU (ANDREW CHOLE MHELLA) 3479094800.

No comments:
Post a Comment