Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, January 24, 2013

Ujumbe Muhimu: Mwili wa marehemu Omari Bakari Hassani Kuagwa jumamosi hii ya tarehe 26 Feb. 2013

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma unawajulisha kuwa mwili wa marehemu Omari Bakari Hassani utaagwa jumamosi hii ya tarehe 26 mjini Napoli. Itakumbukwa kuwa marehemu alifariki jumatatu ya tarehe 10/12/2012 Lago Patria Giuliano mjini Napoli lakini mwili wake haukuwezwa kuagwa kutokana na kuwa bado ulikuwa ukifanyiwa uchunguzi juu ya chanzo cha kifo cha marehemu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Omari Bakari Hassani mahala pema peponi amina.No comments:

Post a Comment