Watanzania kwa wingi walijitokeza kuuaga mwili wa marehemu Omari Bakari Hassani mjini Napoli tarehe 26 Feb. 2013. Mwili wa marehemu ulisafirishwa kwenda nchini Tanzania tarehe 28 Feb.2013.
Jumuiya ya Watanzania Roma iliwakilishwa na Katibu Andrew Chole Mhella ambaye alienda na ujumbe wa watu watatu tokea Roma.
Hapa Mjane wa marehemu akimuombea marehemu. Kwa pembeni ni Kaimu Mwenyekiti mama Tandika.
Hapa Mjane akiingia Kwenye chumba cha kuifadhi maiti.
Watanzania wakimuombea Dua marehemu Omari Bakari Hassani.
Ujumbe wa Jumuiya ya Watanzania Roma, ukiongozwa na Katibu wa Jumuiya Andrew Chole Mhella ulipowasili tu kwenye chumba cha kuifadhia maiti.
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma akimkabidhi bahasha yenye mchango tokea kwa Watanzania Roma, Mama Tandika ambaye ni Kaimu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Italy.

No comments:
Post a Comment