Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Friday, December 14, 2012

Taarifa za Msiba toka Mjini Napoli-Italy

JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA, IMESIKITISHWA NA HABARI ZA KIFO CHA NDUGU OMARI BAKARI HASSAN,KILICHOTOKEA USIKU WA JUMATATU TAREHE 10/12/2012 KWA AJALI YA GARI. MAREHEMU ALIPATA AJALI SEHEMU INAYOITWA LAGO PATRIA- GIUGLIANO NAPOLI.

UONGOZI WA JUMUIYA UNAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA WOTE MLIOPO ROMA KUWA, JUMAMOSI YA TAREHE 15 DISEMBA KUTAKUWA NA MKUTANO KWENYE UKUMBI WA WAKENYA ULIOPO KWENYE VIA GIOVANNI LANZA SAA KUMI NA MOJA JIONI WENYE LENGO LA KUKUSANYA MICHANGO ITAKAYO SAIDIA SHUGHULI NZIMA YA USAFIRISHAJI WA MWILI WA MAREHEMU KWENDA NCHINI TANZANIA.

KWA MAELEZO ZAIDI MNAWEZA KUMUANDIKIA KATIBU watanzaniaroma@yahoo.it au kumpigia kwenye namba hii ya simu 3479094800.

Upande wa kushoto mwenye Tshirt Nyeusi ni Marehemu Omary alivyokuja kuungana na sisi Watanzania Roma kwenye kusherehekea sikukuu ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Rome Tarehe 12/05/2012

Picha ya Pamoja huku Marehemu Omari akiwa upande wa kulia wa Balozi wa Tanzania Italy, Mh. James Msekela.


                  REST IN PEACE BROTHER OMARY YOU LEFT US TOO SOON!

No comments:

Post a Comment