Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, November 8, 2012

Picha za Mazishi ya Marehremu JANUARY JEREMIA MKOBA Morogoro, Tanzania

UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA UNAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA MWILI WA MAREHEMU JANUARY JEREMIA MKOBA ULISAFIRISHWA SALAMA SIKU YA TAREHE 30 OKTOBA NA KUPOKELEWA NA NDUGU WA MAREHEMU WALIOKUWEPO UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA JULIUS NYERERE MJINI DAR ES SALAAM TAREHE 31 OKTOBA 2012. MWILI WA MAREHEMU BAADA YA KUPOKELEWA ULISAFIRISHWA KWA BASI KUELEKEA KIJIJI KWAKE, KIJIJI CHA BUNDUKI MKOANI MOROGORO KWA MAZISHI.
ITAKUMBUKWA KUWA MAREHEMU JANUAARY JEREMIA ALIFARIKI TAREHE 21/10/2012 PINETA MARE - CASERTA- ITALY, MJINI NAPOLI.


HAPA KWA CHINI NI PICHA MBALIMBALI ZA MAZISHI NCHINI TANZANIA.No comments:

Post a Comment