Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, October 24, 2012

TANGAZO MUHIMU: KIKAO CHA DHARULA CHA MSIBA MJINI ROME 25 OKT. 2012

Jumuiya ya Watanzania Roma inachukua nafasi hii kuwafahamisha Watanzania wote waishio mjini Rome kuwa, kesho tarehe 25 Oktoba 2012, saa kumi kamili jioni (16hrs)  pale kwenye Restaurant ya kihindi iliyopo via  Principe Amedeo, kutakuwa na kikao cha dharula chenye lengo la kukusanya  michango kwaajiri ya kufanikisha usafirishwaji wa mwili wa marehemu January Jeremia Mkoba kwenda nchini Tanzania kwenye pumziko la milele. Itakumbukwa kuwa marehemu Mkoba alifariki dunia mjini Napoli jumapili iliyopita tarehe 21/10/2012.

Tunaomba tujitaidi tufike mapema ili tufanikishe shughuli hii muhimu.


Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake liidimiwe.

Katibu,
Andrew Chole Mhella

No comments:

Post a Comment