Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, October 28, 2012

MWILI WA MAREHEMU JANUARY JEREMIA MKOBA WAANGWA MJINI NAPOLI

WATANZANIA NCHINI ITALIA, JANA TAREHE 27 OKTOBA 2012, WALIUNGANA KWA PAMOJA KWENYE KUUAGA MWILI WA MAREHEMU JANUARY JEREMIA MKOBA, ALIYEZALIWA 31/11/1943 -KIJIJI CHA BUNDUKI -MOROGORO NA KUFARIKI TAREHE 21/10/2012 PINETA MARE - CASERTA- ITALY, MJINI NAPOLI NCHINI ITALIA.

MAZISHI YALIONGOZWA NA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALY CHINI YA MH. ADBULLAHMAN, KWA USHIRIKIANO NA UONGOZI WA JUMMUIYA YA WATANZANIA ROMA ULIOWAKILISHWA NA KATIBU WA JUMUIYA NDUGU ANDREW CHOLE MHELLA PAMOJA NA USHIRIKIANO WA KARIBU SANA NA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ITALY.

SALA YA KUMUOMBEA MAREHEMU ILIONGOZWA NA PADRE PAUL KAIGARULA.

MWILI WA MAREHEMU UTAONDOKA NCHINI ITALY SIKU YA JUMANNE TAREHE 30/10/2012 NA KUFANYA TRANSIT AMSTERDAM, HOLLAND TAREHE 31/10/2012 AMSTERDAM.MIDA YA SAA NNE NA DAKIKA KUMI NA TANO NA KUFIKA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU JULIUS NYERERE SAA NNE NA DAKIKA HAMSINI ZA USIKU!

 
 
  

MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI MAREHEMU JANUARY JEREMIA MKOBA. AMEN

No comments:

Post a Comment