Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Saturday, May 19, 2012

Taarifa juu ya usafirishaji wa mwili wa Marehemu James Mbwana

Taarifa kutoka kwa Mwakilishi wa Mapadre wa Jimbo la Mbeya hapa Roma, Fr. Kristofa Zulu Nyoni juu ya usafirishaji wa mwili wa marehemu kwenda Tanzania:
  1. Mwili wa Marehemu Fr. James Amon Mbwama, utaondoka siku ya jumanne tarehe 22 Mei 2012 jioni kwa ndege ya Emirates na kufika Dar es Salaam kesho yake tarehe 23 Mei 2012 na kupokelewa na Makamu wa Askofu wa Jimbo la Mbeya Mheshimwa Fr. Francis Magala.
  2. Baada ya kupokelewa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara  msafara utaanza kuelekea Jimboni Mbeya kwa mazishi.
Tutaendelea kukuletea taarifa zaidi kulingana na Mwakilishi wa Mapadre wa Jimbo la Mbeya hapa Roma, Fr. Kristofa Zulu Nyoni.

Nakutakia utumishi mwema
Fr. Flavian Kassala

No comments:

Post a Comment