Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Saturday, May 26, 2012

TAARIFA YA MSIBA WA FATHER JAMES MBWANA MAGAZETINI TANZANIA

Msiba wa Fr. James Mbwana aliyefariki jumatano tarehe 16 mei mjini Rome, uliwagusa Watanzania wengi na kufikia kuwekwa hata kwenye magazeti nchini Tanzania. Picha hii kwenye gazeti inadhiilisha jinsi marehemu Fr. Mbwana alivyokuwa kipenzi cha wengi.Mwenyezi Mungu amlaze Marehemu Mahali pema peponi amina!

2 comments:

  1. Nimeguswa sana na FR.James Mbwama....nimepata taarifa kwa njia ya mitandao...nimesikitika sana,kwani alikuwa ni roomate wangu wakati huo Mafinga Seminary..na nilikuwa msaidizi wake wakat yeye akiwa waziri wa afya...too sad,kanisa limepoteza hazina kubwa ktk utaalamu wa Kigiriki na Kilatini...lakini shukrani kwa ubalozi wa Tanzania nchini Italy..mana tumepata habari kuwa umejitahidi sana kuhahakikisha ndugu yetu anarudi kuzikwa ktk ardhi ya Nyumbani

    ReplyDelete
  2. Pole sana Ndugu yetu!Mwenyezi Mungu amempenda zaidi.Kilichobaki ni kumuombea kwa mwenyezi Mungu ampokee kwenye maisha ya milele amina.

    Andrew Chole Mhella
    Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma.

    ReplyDelete