Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Saturday, May 26, 2012

MSANII WA KITANZANIA JOHN KIMATI ANATAFUTA PROMOTORS

  

Msanii mwenye kipaji na sauti nyororo ya kumtoa nyoka pangoni ndugu John Kimati anatafuta
manager wa kumsaidia kutangaza kipaji chake na kumuwezesha kuingia mkataba na LABEL ambayo itafuatilia kazi zake za kimziki! Kwa sasa bwana John Kimathi yupo Tanzania baada ya kurudi tokea masomo nchini Uingereza. Kwa wale wote ambao watapenda kumsupport kimziki Ndugu John Kimati mnaombwa kuwasiliana na Katibu ya Jumuiya ya Watanzania Roma ndugu Andrew Chole Mhella kwa e-mail hii watanzaniaroma@yahoo.it au kwa simu namba 0039-3479094800.

Play below to Watch him sing.No comments:

Post a Comment