Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, April 22, 2012

TANGAZO MUHIMU JUU YA SHEREHE YA MUUNGANO NA UTAMADUNI WA TANZANIA

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Rome, unapenda kuwafahamisha watanzania wote nchini Italy kuwa ile sherehe ya Muungano wa Tanzania na Utamaduni wa Tanzania ambayo ilikuwa ifanyike siku ya tarehe 28 Aprili 2012 kwenye ukumbi wa Karispera Club 69, imepelekwa mbele mpaka tarehe 12 Mei 2012. Badiliko la tarehe ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Tunaomba radhi kwa wale wote ambao wameathirika kwa namna moja au nyingine na badiliko ili la tarehe. Kwa maelezo zaidi mnaweza kuwasiliana na Katibu kwa e-mail hii watanzaniaroma@yahoo.it au kwa simu namba 0039-3479094800.

Tarehe ya mkutano ujao itatangaza muda si mrefu.
Asanteni. 

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Jumuiya ya Watanzania Roma

No comments:

Post a Comment