Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Friday, April 20, 2012

Mkutano wa mwisho wa Sherehe ya Muungano wa Tanzania na Utamaduni wa Tanzania

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Rome unapenda kuwakaribisheni Watanzania wote kwa Ujumla kwenye Mkutano wa Mwisho wa maandalizi ya Sherehe ya muungano na utamaduni wa Tanzania utakao fanyika hapo kesho (21 Aprili) kuanzia saa tisa mchana kwenye ukumbi wa kila siku pale Indian Restaurant Restaurant (South Indian Restaurant & Fast Food) MAENEO YA TERMINI, Mtaa wa Via Principe Amedeo 70.Mnaombwa mfike kwa wingi maana maandalizi bado yapo nyumba kidogo. Itakumbushwa kuwa tarehe 28 ndio siku ya Sherehe ya Muungano na Utamaduni wa Tanzania.
Kwa maelezo zaidi tafadhali tuandikieni kwenye e-mail hii, watanzaniaroma@yahoo.it au tupigieni hapa 3479094800.

No comments:

Post a Comment