africa na maofisa wa umoja wa Taifa, jana tarehe 3 Machi, walikusanyika uwanja
wa ndege mjini Rome, Fiumicino kumuaga balozi Wilfred Ngirwa ambaye alikuwa
anarudi Tanzania baada ya kustaafu. Mh. Ngirwa alikuwepo ubalozini kwa takribani
miaka sita akiudumia serikali ya Tanzania upande wa Umoja wa Mataifa. Balozi
Ngirwa atakumbukwa kwa utendeji wake wa kazi si tu kwa kuwakilisha serikali ya
Tanzania kwenye umoja wa taifa bali hata kwa upendo wake aliouonyesha kwa
Watanzania mbalimbali hapa mjini Rome.Jumuiya ya Watanzania Rome inapenda
kumtakia balozi Ngirwa mapunziko mema nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment