Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Monday, March 19, 2012

Mkutano Mjini Rome 24 Machi 2012

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma unapenda kuwajulisha Wanajumuiya wote muishio mjini Roma kuwa jumamosi tarehe 24 kutakuwa na mkutano wa maandalizi ya sherehe ya Muungano wa Tanzania na Utamaduni wa Mtanzania. Mkutano utafanyika pale
(South Indian Restaurant & Fast Food) MAENEO YA TERMINI, Mtaa wa Via Principe Amedeo 70, kuanzia saa kumi jioni. Watanzania wote mnakaribishwa kwenye maandalizi ya sherehe hizi muhimu kwa sisi Watanzania. Kwa maelezo zaidi mnaweza kuniandikia mimi Katibu kwa kutumia e-mail hii watanzaniaroma@yahoo.it au kunipigia simu 3479094800. Asanteni na tunawasubiri kwa wingi.

No comments:

Post a Comment