Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, November 27, 2011

Sherehe ya miaka 50° ya Uhuru wa Tanzania Bara Mjini Rome kufanyika Tarehe 9 Disemba 2011

Kamati ya maandalizi ya sherehe ya uhuru wa Tanzania Bara inayoongozwa na ubalozi wa Tanzania Italy kwa ushirikiano mkubwa wa Jumuiya ya Watanzania Rome na Jumuiya ya Watanzania Italy, inayofuraha kuwajumulisha watanzania wote nchini Italy kuwa, Sherehe ya Uhuru itafanyika tarehe 9 Disemba 2011 mjini Rome. Kwenye Mtaa wa via Carlo Severini/ Via del Casale lumbroso (GRA Uscita 33, Zona Casale Lumbroso-Aurelia) kuanzia saa tisa mchama mpaka saa nane usiku.

Ili sherehe iweze kufana michango yenu ya dhati inaitajika haraka iwezekanavyo maana muda wa maandalizi umebakia mdogo.Kwa maelezo zaidi juu ya michango, mnaombwa muwasiliane na katibu wa jumuiya ya Watanzania Rome cell. 3479094800 au e-mail watanzaniaroma@yahoo.it au Ubalozi wa Tanzania Italy simu 0633485833.Kwa wale mliopo mikoani mnaombwa muwasiliane na viongozi wenu kuhusu michango.

2 comments:

  1. habari yako,
    Mimi hapa nilipo hakuna jumuiya ya wtz,ila ninatamani kuhudhuria siku hiyo ili nijumike na wTZ wenzangu hapa italy.
    Ningependa kujua mchango ni kiasi gani.ili nitume mapema.
    asante sana.
    M.Mkumbo

    ReplyDelete
  2. Habari za kwako ndugu M.Mkumbo! Tafadhali tuandikie e-mail yako kupitia e-mail ya Jumuiya watanzaniaroma@yahoo.it tutakupa maelezo yote.Asante.Katibu

    ReplyDelete