Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, November 30, 2011

Jinsi ya Kufika kwenye ukumbi wa sherehe ya Uhuru 9 Disemba 2011

KWA BUS -

Kutokea Piazza Cornelia chukueni Bus 906 linaloelekea CASALE LUMBROSO. Shukeni kwenye kituo cha tatu au cha nne baada ya kucross RACCORDO yaani kwenye BOWLING CLUB kwenyr Via del Casale Lumbroso.

-Ambao hajui namna ya kufika mpaka Cornelia mnaweza kufika kwa metro A ambayo inaelekea Battistini, yaani kituo kimoja kabla ya Battistini au kwa Bus namba 46 linalotokea Piazza Venezia au kwa Bus 49 linalotokea Piazza Cavour na kuelekea Monte Mario.

-Kwa watakao kuwa wanatokea Largo Argentina, mnaweza kuchukua Tram 8 linaloelekea Cassaletto, yaani mpaka mwisho wa tram, halafu chukueni bus 088 moja kwa moja mpaka kwenye kituo ambacho utaona Bowling Club kwenye mtaa wa Via Casale Lumbroso.

KWA GARI

-Njooni mpaka Uscita 33 kwenye Raccordo (GRA), Casale Lumbroso. Endesha kwa takribani 1.5 km huku mkiangalia Bowling Club. Ni club pekee iliyopo kwenye Mtaa huo.

No comments:

Post a Comment