Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, November 3, 2011

Mkutano Mkuu wa Kufunga Mwaka wa Jumuiya ya Watanzania Rome (19 Nov. 2011)














Jumuiya ya Watanzania Rome (TZ-RM) inayofuraha kuwakaribisheni wanajumuiya wote kwenye mkutano mkuu wa kufunga mwaka wa Jumuiya siku ya tarehe 19th Nov. 2011 kwenye ukumbi uliopo mtaa wa Via Cassallatico, maeneo ya Cassia mjini Rome, kuanzia saa tisa jioni.Ili kuweza kufanikisha mkutano huu ambao utaambatana na sherehe, mchango wako wa hali na mali wa euro 20 unaitajika. Kwenye mkutano wanajumiuya kwa pamoja, watajadili maswala mbalimbali kama vile mafanikio na matatizo yaliyojitokeza kwenye mwaka mzima wa 2011. Mtakaopenda kujiunga mnaombwa mfike kwa wingi siku ya mkutano maana mafomu ya kujiandikisha bado yapo. Kwa maelezo zaidi na utoaji wa michango, tafadhali wasiliana na katibu Mr. Andrew Chole Mhella au mweka hazini Mr. Awadhi Suleiman kwa e-mail hii watanzaniaroma@yahoo.it au kwa simu namba 3479094800. Nyote mnakaribishwa.

Wenu,
Andrew Chole Mhella
katibu wa Jumuiya ya Watanzania Rome

No comments:

Post a Comment