Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Tuesday, November 1, 2011

Je wajua maana ya ufungaji huu wa Makufuli?

Hapa mjini Rome kwa takribani miaka minne sasa, kumekuwa na tabia ya watu kwenda maeneo ya Castel S'angelo, eneo lililopo meter chache tokea Kanisa kuu Takatifu la Mtakatifu Petro na eneo la Ponte Milvio kwaajiri ya kufunga makufuli juu ya makufuli mengine halafu funguo wanazitupa kwenye mto TEVERE. Watu wengi wamekuwa wakijiuliza sababu inayowapeleka watu kufanya jambo ili la kipekee! Mimi kama mmoja wa watu waliokuwa na shauku, niliamua kufanya utafiti ili niweze kuelewa zaidi juu ya jambo ili. Niliweza kugundua kwamba wanafunga haya makufuli kama alama ya upendo kati yao wapendanao. Wanachofanya ni, kwa pamoja wanayachukua hayo makufuli na kuyaandika majina yao kisha kuyafunga wakiashilia ishara ya upendo wao wa kudumu maishani mwao na kisha wanatupa ufunguo kwenye mto huku waki make a wish kwamba hakuna atakaye watenganisha.

No comments:

Post a Comment