Dr. Boniface Mhella ambaye ni Mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania Rome, leo usiku 04/07/2011, ameondoka kuelekea South Africa. Dr. Boniface amewashukuru sana Watanzania wote wa Rome na Italy kwa ujumla kwa kuwa karibu nae na kuwaomba kuendelea na tabia ya ushirikiano na upendo. Amewaomba wanajumuiya wasisite kumjulisha maendeleo ya Jumuiya na amesema pale jumuiya itakapomtafuta kwa lolote lile atakuwa tayari kushirikiana.

Hapa Dr. Boniface akipata picha ya pamoja na Mheshimiwa Balozi Wilfred Ngirwa kwenye uwanja wa ndege wa LEONARDO DA VINCI FIUMICINO usiku wa leo 04/07/2011.

Picha ya pamoja airport FIUMICINO.
No comments:
Post a Comment