Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Tuesday, December 7, 2010

Trailer ya Film ya Kikatuni toka kwa Dr. Boniface

Dr.Boniface Mhella ambaye ni mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania Rome, yupo mbioni kuachia film yake mpya na ya Kwanza iliyo kwenye Muundo wa kikatuni. Dr.Boniface ambaye kwa sasa yupo kwenye hatua ya utengenezaji wa Film hii ambayo amehaidi kuifikisha kwenye TV za nchini Tanzania pale itakapokamilika, ametuambia kuwa sasa hivi yupo kwenye atua ya utengenezaji wa film hii ambayo itakuwa si tu ya kuburudisha jamii bali hata kufundisha jamii kupitia katuni.Sasa hivi anakaribisha ushauri utakaomuwezesha kuboresha project yake. Kwa wale wenye ushauri wowote mnaweza kumwandikia kupitia e-mail yake bmhella@yahoo.com. Kwenye trailer kuna soundtrack from Wabantu Click. Pale Itakapokamilika Blog ya Jumuiya Itawaleteeni muone kiduchu nini kimo kwenye hii film!

No comments:

Post a Comment