Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Saturday, July 3, 2010

World Cup Fan Fest Rome:German Wawatesa na kuwatoa kwenye Waargentina!

Wajerumani wamezidi kuonyesha ubabe wao kwenye kombe la dunia linaloendelea huko South Africa kwa kuwachabanga Waargentina wa Diego Armando Maradona kwa bao Nne kwa bila.Mechi kwa hapa Rome ilifuatiliwa na wadau mbalimbali wa mpira zaidi watokao nchi mbalimbali wakiongozwa na Argentina ambao ndio walionekana wakina na matumaini zaidi. Hapa kwa chini kunapicha mbalimbali toka piazza Siena Roma, ambapo mechi ilikuwa inaangaliwa na wadau wengi wa mpira. Picha zote zimepigwa Rome kwenye offical World Cup Fan Fest Rome.

No comments:

Post a Comment