Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Friday, June 11, 2010

World Cup 2010: Watanzania Roma Wajumuika na Wasauzi kushangilia mechi ya Ufunguzi wa Kombe la Dunia
Rome: Leo jioni, baadhi ya Watanzania waishio Rome walipata mwaliko kutoka kwenye ubalozi wa South Africa Italy, kwenda kuangalia mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia kati ya South Africa na Mexico maeneo ya Villa Borghese, mjini Rome. Mechi hii iliyoanza saa kumi kamili jioni, ilikuwa nzuri sana ambapo South Africa walianza kupachika bao la kuongoza na baadae bao ilo kurudishwa na vijana wa Mexico. matokeo ya mwisho yalikuwa ni 1-1 na hivyo kila nchi ilijinyakulia point moja. Kwa wale wanaotaka kwenda kuangalia mechi mbali mbali za kombe la dunia Villa Borghese karibu na Piazza Siena kuna Big Screen TV.

2 comments:

  1. Hongera kwa kushangilia. Hii imenikumbusha wimbo wetu wa Taifa. kwamba beti la kwanza ... Mungu Ibariki Afrika... na beti la pili... Mungu Ibariki Tanzania... Hii ni kusema kuwa tulikuwa na Afrika kwanza (yaani waafrika kwanza ) kabla ya kutengwa au kubaguliwa na wakoloni ndipo tulipojikuta sasa watanayika, wakenya, warundi, wasuzafrika, wakihonda n.k. Hii Ndiyo sababu ya wafrika leo hii kushangilia timu za Afrika.. Mdau kihonda.

    ReplyDelete
  2. hongera watanzania roma kwakuonyesha moyo wa upendo kwa ndugu zetu wabondeni kuacha shughuli zetu nakwenda kuwaunga mkono jirani zetu baab kubwa roma

    ReplyDelete