Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, June 9, 2010

Burudani: Wabantu Click Watoka Kiupya na Wimbo Mpya- The Way U Walk

Kundi la Wabantu Click lifanyalo kazi za mziki mjini Rome jana lilikamilisha wimbo wake mpya uitwao THE WAY U WALK ( I LIKE IT) Chini ya Altoent production ya mjini Rome, inayoendeshwa na Hyst ambaye pia ni msanii wa mziki mitindo ya Black Hip-Hop, actor na pia ni presenter wa kipindi cha La Fattoria kinachorushwa hewani na RAI TRE. Itakumbukwa kuwa hapo hawali Wabantu walisharusha hewani nyimbo zao mbili (Inawezekana na Wakati ndio Huu). Video ya Wimbo itakuja muda si mrefu under Bonn-j Video Production ya mjini Rome. Wabantu wanawasii mkae mkao wa kula!

1 comment: