Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, June 16, 2010

Mwaliko kwa Watanzania Wote Kutoka kwa Fr. Vincent Mhina

Ndugu Watanzania wenzangu, Salaam.
Mimi ni padre Vincent Mhina kutoka Arusha, Tanzania.
Napenda kuwaalika kwenye utetezi wa kazi yangu ya kuhitimisha masomo katika kitivo cha elimu chuo Kikuu cha Salesiana hapa Roma tarehe 21/06/2010, saa kumi na moja jioni (17hrs).
Kwa kufika chuoni Salesiana, maeneo ya Monte Sacro: Ukitokea Termini chukua bus namba 90 hadi Piazza Vimercati. Kutokea Piazza San Silvestro, chukua basi namba 80 hadi capolinea yaani Piazza Vimercanti, ni karibu na lango kuu la chuo cha Salesiana. (Ateneo Salesiano). Wanao chukua Treni shukia kituo cha Nuovo Salario,kisha basi namba 339.

Mada nitakayotetea ni hii:
EDUCATION FOR YOUTH DEVELOPMENT IN BANTU AFRICA:UTU-CENTRED ANTHROPOLOGY AND PEDAGOGY ( Case of Tanzania)
Lengo kuu la mada hii ni kutafakari maana na umuhimu wa Utu kama tunu mojawapo ya utamaduni wa mwafrica na dhana mojawapo ya falsafa ya kiafrika inayohimiza kuthamini hadhi na heshima ya binadamu katika nyanja zote za maisha na maendeleo kwa ujumla.

Baada ya tukio ilo tunakaribishwa wote kushiriki chakula cha jioni kwenye hoteli (Chinese Hotel) iliyokaribu na Vatican kama tutakavyoarifiwa tena kwa uhakika zaidi.

Karibuni nyote.
Father Vincent Mhina
Tel. 334-1029003

No comments:

Post a Comment