MAHALI: South Indian Restaurant & Fast Food
Via Principe Amedeo 70
(Mita 70 toka Stazione Termini)
MUDA: Kuanzia saa Kumi (16hrs)
AGENDA: - 1.)Kujadili maswala mbalimbali ya Jumuiya kama
vile:
a) Mwenendo wa michango;
b) Katiba, kama kutakuwa na umuhimu;
c)Mapendekezo na matatizo kama yapo.
d) Mwelekeo wa Jumuiya n.k.
2.)Kubadilishana mawazo kutoka kwa wanajumuiya
yenye lengo la kujenga Jumuiya yetu.
Kwa maelezo zaidi piga simu:
Mwenyekiti:3395217455
Katibu: 3479094800
WANAJUMUIYA WOTE NA WATANZANIA WOTE MNAOPENDA KUSHIRIKI MNAKARIBISHWA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment