
Dr. Boniface Mhella ambaye ni Mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania Rome, alipata nafasi ya kulonga na Radio Vatican kwenye section ya English for Africa ambayo huwa inavipindi vinayorushwa moja kwa moja na kusikika hata Africa mashariki. Maojiano yalikuwa juu ya kazi yake ya udaktari aliyotetea mwezi machi mwaka huu. Bonyeza play hapo chini usikilize maojiano aliyofanyiwa na mwandishi wa habari wa Radio Vatican, ndugu Godfrey Kampamba. Sehemu ya pili ya maojiano itarushwa hewani na Radio Vatican wiki ijayo.
No comments:
Post a Comment