Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Monday, May 10, 2010

R.I.P. Salim Issa Isihaka (SLIM)

Rome: Wanajumuiya wa Jumuiya ya Watanzania Rome leo asubuhi (10-05-2010) walijumuika pamoja na familia ya marehemu Salim Issa Isihaka na Watanzania wengine waishio sehemu mbalimbali hapa Italy na wengine watokao nje ya Italy kwenye makaburi ya Cimeteri Flamino, yaliyopo nje kidogo ya mji wa Rome maeneo ya Prima Porta, kumsindikiza ndugu yetu marehemu Salim Issa Isihaka (SLIM) kwenye pumziko la milele. Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Rome unawashukuru wanajumuiya wake wote kwa kujitoa kwenye utoaji michango ya rambirambi ambayo mwenyekiti na katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma waliikabidhi moja kwa moja kwa familia ya marehemu. Huu ni mshikamano mzuri unaotuunganisha watanzania na tunaomba uendelee panapo kuwa na matatizo na furaha kama katiba yetu inavyoashilia. Mwenyezi Mungu amlaze marehemu mahali pema Peponi. Amen.









No comments:

Post a Comment